Wednesday, April 1, 2020

FANYA HIVI ILI KUONDOA MICHIRIZI MWILINI UKIWA NYUMBANI KWAKO

❣️Jinsi ya kutoa Michirizi ya mwilini💢💢
⚕️ Online clinic👩‍⚕️ MwanaApp ♥️

✍️❤️Tatizo la kutoa Michirizi ya mwilini linaweza sababishwa na  madhara ya kunywa madawa ya aina fulani, au ukipaka mafuta, au krimu kali kwenye ngozi husababisha uharibifu wa ngozi nanakutokea kwaa michirizi hiyo {Stretch marks}. Uzuri ni kuwa, huu si ugonjwa. Waweza kuondoa michirizi hiyo au kupunguza kwa asilimia kubwa muonekano wake.

🕸️🕸️Uwapo wa michirizi mwilini ni tatizo linalowasumbua wengi.

 🌹🌹Michirizi huweza kutokea shingoni,tumboni,mikononi,mapajani na hata kiunoni na kumfanya mtu apoteze mvuto.

👌👌Watu wengi huangaika  kutafuta dawa ya kuondoa tatizo hilo bila mafanikio. Ni tatizo linaloleta muenekano mbaya hasa mhusika akivaa nguo za wazi.

❤️NJIA ZA KUTOA MICHIRIZI MWILINI💥💥

✍️✍️Michirizi mara nyingi husababishwa na mfumo mbovu wa maisha ,pia matibabu yake kubadili mfumo huo(change life style tuu)
☑️ Unywaji wa maji mengi,angalau glasi 8 kwa siku,ulaji wa mboga za majani na vyakula vyenye wingi wa vitamin C na E sambamba na madini ya Zinc na Silica ikiwamo karoti,spinachi na maharage mabichi.
☑️Vilevile matumizi ya juisi ya limao ambayo unaweza kuipaka kwenye maeneo yenye michirizi. Unapotumia njia hii hakikisha limeingia vizuri kwenye ngozi yenye michirizi kwa angalau dakika 15 halafu nawa na maji ya uvuguvugu. Hadi utakapoona Michirizi imetoka
☑️Njia nyingine ni matumizi ya viazi mduara. Katakata vipande vyembamba na kisha jipake kwenye maeneo yaliyoathirika
☑️Fanya Mazoezi ya Kupungua Mafuta MWILINI hii itakusaidia Sana.

🌹🌹Mtu wa kwanza kulinda Afya yako Ni wewe❣️❣️

No comments:

Post a Comment