Friday, April 3, 2020

🌹🌹UKE MKAVU💞 visababishi Ni HIVI hapa🌺

_________
✍️ Dr.Chilo
🌹mwanaApp
#online clinic

🌏🌏Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaan ESTROGEN HORMONES ambayo huleta ute na vilainishi vya uke Wakati wa tendo la ndoa.

🌧️🌧️ kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wa wastanii ambao hufanya uke kubana,kuleta joto na raha katka tendo mambo yakawa 💘💞

👁️VISABABISHI VYA UKE MKAVU 👁️

❣️❣️Upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi
❣️❣️magonjwa ya zina kamaa kaswende,gonorea n.k
❣️❣️U.T.I sugu
❣️❣️Fangasi sugu ukeni
❣️❣️matumizi ya sabuni za anti biotics kusafishia uke ,Yan Kusafisha uke hadi ndani kwa sabuni👌
❣️❣️matumizi ya pedi zisizo za anions

👩‍⚕️👩‍⚕️DALILI ZA UKE MKAVU 🌹🌹

👉_Maumivu makali wakat wa tendo la ndoa
👉_kutokwa na damu wakat/baada ya tendo la ndoa
👉_kukosa/kupungua hamu ya tendo la ndoa
👉_maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo
👉_maumivu ya kiuno,mgongo na tumbo
👉_maumivu ya mifupa na viungo
👉_kuwa na ngozi kavu
👉_msongo wa mawazo kupita kiasi
👉_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
👉_kukosa kufurahia tendo la ndoa
🤔_kuto shika mimba

♨️♨️MADHARA YA UKE MKAVU

🔔_upungufu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi(HORMONES IMBALANCE )
🔔_kuto shika mimba
🔔_siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
🔔_ni rahisi kushambuliwa na maambukizi katika mfumo wa uzazi kama PID,HIV  nk.

 💓💓Unaweza Toa comments hapo chini👇

No comments:

Post a Comment