TATIZO LA CHANGO KWA WATOTO WACHANGA
Dr.chilo,⚕️ online clinic
💝🤼🤼watoto wachanga wanasumbuliwa na chango(colic) wanapokuwa na umri wa wiki 2 baada ya kuzaliwa ndipo wanapata achango. Chango ni maamivu makali ya tumbo anayopata mtoto na kulia mara kwa mara ikiwa usiku , mchana au jioni ,anaweza kulia zaidi ya msaaa 3 kwa siku usiku .
🌺🌺Chango inachukua muda wa miezi 3-4 ndio mtoto apone kabsa,ingawa sio watoto wote wanapata na tatizo la chango.
🔔 Sababu za kuleta chango kwa mtoto? ✍️✍️
🍓🍓 Maziwa ya ngo’mbe yana protein nyingi , lactose inayopatikana kwenye baby formulas .(hayo yote yanaweza mletea allergy na maumivu ya tumbo)
🍓🍓 Mtoto atakapo nyonyeshwa sana mpaka kuvimbilwa (overfeeding)huchochea chango.
🍓🍓 Hormones-zinachochea mletea maumivu ya tumbo (mtoto akiwa na stress ya mazingira au mama anaposhindwa kumweka position nzuri wakati wa kunyonya)
🍓🍓 GESI - mtoto ,akiwa analia au kunyonya kwa haraka anameza hewa inayokuja kuleta gesi na kumuumiza tumbo.
🍓🍓 Kiungulia(heartburn)
✍️ Dalili ya chango kwa mtoto (colic)🔔🔔
▶️ Mtoto atalia sana kilio chake kitakuwa tofauti na kile cha kawaida akiwa na( njaa,usingizi , au akiwa kajisaidia n.k).
▶️ Analia sana akijikunja tumbo ,kunyoosha miguu au vidole ,
▶️ uso utabadili rangi na kuwa mwekundu ,
▶️ pia anaweza kujamba mara kwa mara.
🍒Utamsaidia vipi mtoto💝💝
🌺🌺 Mama unatakiwa kuacha kula baadhi ya vyakula kwa kipindi hiko cha miezi 3-4 ambayo inamsumbua mtoto na chango,kama (kabichi,maziwa yango’mbe au nido, cheese ,kahawa,broccoli,maharage
🌺🌺Baada ya kumnyonyesha mweke begani na mpige pige mgongoni ili abeuwe itamsaidia
🌺🌺 Mama unapo nyonyesha mtoto hakikisha mtoto anaingiza mdomo kwenye chuchu yote na kufunika ule mstari mweusi bila kuacha nafasi akaingiza hewa mtumboni.
🌺🌺 Mfanyie massage ya tumbo- tumia mafuta ya maji weka mkononi sugua viganja vyako vikipata joto mpake tumboni kuanzia juu kuja chini litaletea na gesi zitatoka.
🌺🌺 Weka maji vuguvugu kwenye beseni na mweke mtoto akae kwa dakika 10-15.
🌺🌺 Weka maji vuguvugu kwenye chupa ya plastik funika na taulo mwekee mtoto tumboni(hakikisha -maji yasiwe yamoto sana ukamuunguza.
🌺🌺 Mbebe mtembe tembe au kama kunakiti chake kile cha bembea mweke abembe atanyamaza.
🌺🌺 Mtoe nje apate fresh air.
🌺🌺 Mtoto akilia sana washa radio inamfanya anyamaze.
🌺🌺 Mbadilishie maziwa ya aina nyingine kama unampa ya kopo(baby formula)
🌺🌺Usimlishe sana mpaka akavimbilwa(overfeeding)
🌺🌺 Kuna dawa za colic
👩⚕️👩⚕️ Tiba👩⚕️👩⚕️
✍️✍️ Kunadawa za aina tofauti ila usimpe kabla ujaonana na daktari kwani mtoto ni mdogo sana huyo anahitaji uangalizi wa hali ya juu.
👩⚕️👩⚕️Mtoto akiwa na homa, hayonyi vizuri ,kuhalisha ,degedege muwahishishe kituo Cha Afya kilicho karibu nawe mapema.
🌺🌺TUWALINDE NA KUWALEA WATOTO KWA UPENDO💝💝
No comments:
Post a Comment