🍎 MwanaApp.
Dr.chilo
🌹🌹Fanya mazoezi ya KEGEL .
👉 Wakati unakojoa mkojo wa kawaida uwe unajizuia kwa sekunde 10 au 15 kisha unaendelea hivyo hivyo, yaani unakojoa kidogo unaacha kwa sekunde 10 tena unakojoa hivyo hivyo huku unapumzika mpaka unamalaiza.
🏵️🏵️Fanya zoezi hili mara 3 mpaka 4 kwa siku ukienda kupata haja ndogo. Zoezi hili kwa mjibu wa watafiti ni kuwa linasaidia kukaza misuli ya uke.
🌹🌹SQUATS .
– Hili ni zoezi lingine zuri la kubana uke uliolegea. Ni kusimama na kuchuchumaa, kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo mara 15 kwa mizunguko mitano mara 2 kila siku. Zoezi hili linasaidia pia kuwa na maungo mazuri na faida nyingine nzuri za kiafya.
🌹🌹LEGS UP 💓💓
👉– Lala chali kisha nyanyua mguu mmoja juu kisha shusha chini na unyanyuwe mguu mwingine juu na ushushe chini hivyo hivyo mguu mmoja juu kisha chini, kisha mwingine juu chini ukichoka unapumzika kisha unaendelea hivyo hivyo kila siku kwa dakika 15 mpaka 20 mpaka kifaa chako kitapokuwa sawa
❤️Kisha fanya zoezi hili la mwisho ,utanatakiwa ulale chali Kisha unanyakua kiuno chako juu huku mikono ikiwa imeshika visingino vya miguu nyanyua kiuno kwa sekude 30 Kisha shusha fanya hivyo mara 15 asubuhi na jioni utaona mambo yatakavyo BADILIKA hataka 😋
😋😋
#mwanamke ndo wakuijenga nyumba
🌺🌺mfanye Mpenzi WAKO afurahie akiwa na wewe🍎🍎
No comments:
Post a Comment